Tuesday, December 3, 2013

Amevunja sheria ya matumizi ya vyombo vya usafiri

Pikipiki hii imebeba abiria kwa mtindo wa mishikaki. Dereva na abiria wote hawana kofia za kinga (helmet). Askari wa usalama wa barabrarni anawahoji kwanini anapoteza muda wakati makosa yako wazi kabisa?

No comments: