Friday, December 13, 2013

Obama alimfariji Graca

Rais wa Marekani , Barack Obama alipata wasaa wakumfariji  mjane wa Rais wa Kwanza M,zalendo wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel.

No comments: