Wednesday, December 11, 2013

Tujihadhari na ajali mwisho wa mwaka

Ajali ya gari inaweza kutokea wakati wowote na mahali popote. Wakati tunakaribia kufunga mwaka wa 2013 madereva wa vyombo vya moto tuwe makini katika uendeshaji (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa ARI-Naliendele, Mtwara)

No comments: