Tuesday, December 3, 2013

KWA HILI J.K. ATAKUMBUKWA DAIMA

Rais wa Jamuhuri ya Tanzania Mhe. Dr. Jakaya Mrisho  Kikwete  katika uongozi wake atakumbukwa na wengi kwa moyo wake wa huruma. Kila alipopata nafasi aliwasikiliza raia wake na kuwajali pia.

No comments: