Thursday, December 12, 2013

Korosho kwenye vifungashio

Kwa vifungashio hivi, utatamani tu kununua angalau kikasha kimoja. Ndiyo umuhimu wa kuongeza thamani ya zao. Wachuuzi wetu wa korosho pale Chalinze wafundishwe jinsi ya kuongeza thamani ya korosho wanazouza ikiwa ni pamoja na vifungashio vya kupendeza kama hivi. (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa ARI-Naliendele)

No comments: