Thursday, December 12, 2013

Ukisikia Nakapanya ndiyo hapa

Jina  la Nakapanya si geni kwa wengi wetu. Sehemu hii inapatikana kusini mwa Tanzania. Kama hujafika  Nakapanya, basi hapa ndipo Nakapanya. Bendera ya CUF inapepea! (Picha  kwa hisani ya Dr. Kasuga wa ARI-Naliendele)

No comments: