Monday, March 23, 2015

Biashara matangazo

Hapa Tanzania  wanywaji wa bia laini wanaipenda sana bia iitwayo 'castle lite'  wanasema ni nzuri. Lakini kampuni ya bia inafanya prmotion babu kubwa ya bia hii kupitia njia mbalimbali kama gari hili la kusambaza bia linavyoonekana.

No comments: