Friday, March 13, 2015

Kilimo cha umwagiliaji-raha, tija

Jua linawaka si mchezo, mazao yamenyauka hasa mikoa ya Pwani. Kilimo cha kutegemea mvua si cha uhakika na hakina tija. Tukimwagilia, utakipenda kilimo na kitakupa tija.

No comments: