Monday, March 9, 2015

Tulipishana na trekta

Wakati tulipokuwa tukielekea Moro tulipofika Kingolwira, tulipishana na trekta. Hii inaashiria tunaingia mkoa wa kilimo na pia wenye kutumia zana bora za kilimo yakiwemo matrekta. Morogoro ghala la mazao la Taifa.

No comments: