Leo asubuhi nimebahatika kumkuta uncle Junior nyumbani kwao Buguruni -Maghorofani akijiandaa kwenda shule . Makeke yake yalikuwa kama unavyoona pichani.
| Alinionesha gari lake |
| Na hii ndiyo sare ya michezo shuleni kwako St Joseph Kindergarten |
| Alinionesha vidole vitatu sikufahamu maana yake |
| Umahiri wa kudaka mpira je? Huenda atakuwa goalkeeper wa Taifa Stars |
| Hakika mapenzi yake kwa football ni dhahiri na inawezekana anaipenda Barcelona! |
| Uliwadia wakati wa kwenda shule |
| Na hapa ndipo nilipomuelewa kuwa ni peace - Huenda ni CHADEMA! |
| Alinionyesha bag la shule lenye rangi ya njano! Kumechisha nini? |
| Inapotakiwa kwenda shule ni makeke mengi tu |
| Toys kibao kwa raha zake |
| Angekuwa na gari yake nadhani uncle Junior angeendesha kwenda shule! |
No comments:
Post a Comment