Friday, March 13, 2015

Kiatu kimefichwa 'strategically'

Viatu vingi pichani ni vya watoto. Lakini mmoja ni mjanja zaidi. Kwa kuogopa kuibiwa angalia jinsi sandal ya pink ilivyowekwa juu ya kiatu. Ni mkakati ili kisionekane kirahisi na kuibiwa. Nadhani ana kumbukumbu ya kupoteza kiatu katika mazingira kama haya! (picha kwa hisani ya fb -Petty Mloka)

No comments: