Monday, March 23, 2015

Tulipotembelea Kivule


Tupo Dar lakini wakati mwingine familia hazitembeleani. Jumamosi iliyopita familia yangu iliitembelea familia ya Dr. Julius Manandota  waliohamia Kivule hivi karibuni. Ni mara yangu ya kwanza kufika Kivule lakini familia ilifurahi kwa kweli ni sehemu nzuri na watu wa Dar wanajenga aiseh. Nilichokiana ni Jiji kuimarisha miundo mbinu hasa barabara pamoja na DAWASA  na TANESCO kupeleka huduma za maji na umeme.

No comments: