Monday, March 30, 2015

Bright Angels High School yazindua Bodi ya Shule

 Shule ya Sekondari ya Bright Angels iliyopo Kisemvule, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani imezindua Bodi ya Shule mwezi Februari mwaka 2015. Bodi hiyo itasaidia menejimenti ya shule katika kupanga na kutekeleza mipango ya kuendeleza shule.




No comments: