Wednesday, March 11, 2015

Hapa ni Morogoro-Msamvu

Ni zaidi ya wiki moja tangu mvua kali inyeshe mjini Morogoro na kuzua tafrani. Majani yameanza kuchipua vizuri na kuupendezesha mji wa Morogoro. Hapa ni Msamvu kuelekea keepleft cha Msamvu kwenye kituo kikubwa cha mabus ya abiria kwenda mikoa ya nje ya Morogoro.

No comments: