Friday, March 13, 2015

Kali kutoka Urusi

Hizi zote ni pombe kali aina ya Vodka kutoka Urusi. Hiyo ya Yanga inaitwa Moskovskaya (Moscow Vodka) na hiyo ya kushoto  'Simba' inaitwa Stolichnaya Vodka. Kwa kweli zote kali ni moto! Jaribu uone

No comments: