Monday, March 9, 2015

Jahazi Taarabu inajua kujitangaza

Sikukuu ya Wanawake  ( 8 Machi) mwaka huu ilifanyika kitaifa  mjini Morogoro. Jahazi walikuwepo huko. Angalia wanavyojitangaza. Hawa ndiyo Jahazi. Hapa ni Masika mjini Morogoro. Wengi watalisoma tangazo na nafikiri wengi walikwenda kuwaona wanajahazi wakitumbuiza.

No comments: