Wednesday, March 11, 2015

Kelvin Yondani hamuwezi Okwi

Tarehe 8 Machi 2015 siku ya Wanawake duniani, wapenzi wa soka nchini walishehrekea ki aina yake. Ndiyo siku ambayo mchezo wa DAR DERBY (Simba Vs Yanga). Matokeo Simba iliiadhibu Yanga kwa bao 1-0.Pichani Emmanuel Okwi akimpita kirahisi beki wa Yanga Kelvin Yondan.

No comments: