Friday, March 13, 2015

Muonekano wa Buguruni

Jiji la Dar Es Salaam linajengeka kwa kasi ya kutisha. Hapa ni Buguruni. Hebu check kwa mbele hotel mpya ya NEW POPEX HOTEL.

No comments: