Friday, March 13, 2015

Kumbukumbu na Baba wa Taifa

Hii ni kumbukumbu nzuri Dada Petty ( wa kwanza kulia)  mstari wa nyuma ukiwa na Baba wa Taifa Mwl. J.K.Nyerere  (Marehemu)  Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na mkewe Maria Nyerere (wa kwanza kushoto mstari wa nyuma). (Picha kwa hisani ya fb - Petty Mloka)

No comments: