Wednesday, March 11, 2015

Kuponivic-Yametimia

Kocha wa Simba Goran Kopunivic akimshukuru Mungu baada ya mchezo wa Simba na Yanga kumalizika na Simba kuibuka kidedea siku ya tarehe 8/3/2015 kwa ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi ndani ya uwanja wa Taifa.

No comments: