Saturday, June 27, 2009

KARIBU NYUMBANI KASEJA

Ndo hivyo tena, Kaseja karudi nyumbani nasi wapenzi wa wekundu wa Msimbazi - Simba Sports Club tunasema karibu nyumbani Kaseja.

2 comments:

Belo said...

Alikuja YANGA kula pesa za Manji but hamna lolote alilofanya

Innocent John Banzi said...

Belo umesema kweli. Ulikuwa ni mpango wa wafanyabiashara wajanja wanaowatumia wachezaji kutajirika. Watu wafumbue macho ndo maana Kaduguda anasema ni wachache sana wenye mapenzi ya dhati ya vilabu hivi.