Wednesday, June 3, 2009

Zabibu za Makutupora


Ni wachache wanaofahamu kuwa hapa nchini wapo watafiti wanaoendesha utafiti wa zabibu zinazotumika kutengeneza kinywaji cha mvinyo.


Zabibu ni zao linalofanyiwa utafiti kituoni Makutupora kwa muda mrefu sasa. Kituoni hapo aina mbalimbali za zabibu zinafanyiwa utafiti pamoja na teknolojia nyingine za kustawisha zabibu iliziweze kutoa zabibu nyingi na bora na kumuongezea kipato mkulima wa zabibu nchini. Pichani inaonekana jaribio la zabibu kituoni Makutupora.

1 comment:

Innocent John Banzi said...

Kweli watafiti wa Makutupora wanajitahidi kwa kubuni teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa zabibu