Sunday, March 14, 2010

Hawa watapata elimu nzuri waliosalia je?


Nchi inakwenda kubaya. Kuna watoto wetu watakaobahatika kupata elimu bora ambao ni wachache. Na kuna watoto wetu ambao watapata elimu duni ambao ni wengi. Watakaopata elimu bora ndiyo watakaofaidi keki ya nchi hii.

No comments: