Tuesday, March 23, 2010

Kuku hawauzwi hivi


Hebu angalia kuku walivyoning'inizwa na kutembezwa mtaani kwa mauzo. Je huu ni utaratibu mzuri wa kuuza kuku? Kwanini wasiwekwe vizuri kwenye tenga. Haya ni mazoea kwa wachuuzi wengi wa kuku. TUACHE

No comments: