Tuesday, March 23, 2010

Kipanya bwana!


Nchi hii, wote wastaafu. Lakini mmoja yuko ndani ya 'vogu' na mwingine choka mbaya. Tuangalie sera zetu. Tunatofautiana sana na hii ni hatari.

No comments: