Sunday, March 14, 2010

Unamkumbuka huyu?

Huyu ni Alpha mshindi wa Tusker Project Fame 3 kutoka Rwanda ametua jijini Dar. Mwenzangu una habari. Hivi wote tunatambua umuhimu wa Tusker Project au Maisha Plus? Au hii ni kwa wajanja tu/

No comments: