Monday, March 8, 2010

Mahindi debe shilingi 7,000/ tu!


Wakati hapa Dar kilo moja ya unga wa sembe safi inauzwa kwa shilingi 800/=. Huko Makambako debe moja la mahindi ni shilingi 7,000/= tu. Nani anafaidika? Mkulima au Mfanyabiashara. Picha kwa hisani ya blog ya Mjengwa.

No comments: