Sunday, March 14, 2010

Kata kiu yako kwa dafu!


Wakati sisi tukipapatikia soda na bia. Waone wageni hawa wakikata kiu kwa madafu. Safi sana. Wenye utajiri huo tumekaa kimya wala hatupigii debe. Hebu fikiria tangazo kama hili. 'Unapokuwa jijini Dar kata kiu yako kwa dafu baridi kutoka Kifumangao-Mkuranga!

No comments: