Thursday, October 24, 2013

Ajali pikipiki yangu

Pikipiki chni ya uvungu wa gari iliyogonga

Pikipiki baada ya ajali
Tarehe  29/8/2013 pikipiki yangu SANLG ilipata ajali mbaya lakini kijana aliyekuwa akiiendesha alinusurika hata hivyo alivunjika mguu. Hivi sasa ameshatoka hospitalini (Muhimbili) anajiuguza nyumbani kwake. Ukiziona picha hizi huwezi kuamini kuwa mwendesha pikipiki alinusurika katika ajali hii.

No comments: