Monday, October 21, 2013

Mapambo kwa raha zako!

Wakati mwingine tunakuwa na gharama zisizo za lazima kwa ajili ya mapambo. Utasiki mapambo Tzs 1,600,000/=. Ona mapambo haya yalitengenzwa kwa ajili ya harusi moja kijijini Kisemvule- Mapambo maputo, makuti, vitambaa na mkeka mambo kwisha na harusi imefanyika  na ndoa inaendelea kwa mapenzi ya bashasha hadi leo!

No comments: