Thursday, October 3, 2013

Kenya na Tanzania wanauwezo wa kuzalisha mazao mbalimbali yanayotokana na maziwa



Ni kawaida yetu sisi Waaftika kufikiri kuwa bidhaa za wazungu ni bora kuliko zetu. Kenya na Tanzania kupitia Programu ya EAAPP wamewawezesha wajasiriamali kwenye sekta ya maziwa kuzalisha mazao mbalimbali (mtindi, siagi,jibini,maziwa) kwa ubora wa hali ya juu. Bidhaa hizi zilionekana kwenye maonyesho ya Wakulima Kitaifa (NaneNane) mwezi Agosti 2013 katika viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma.

No comments: