Thursday, October 3, 2013

Huyu ndiye 'Nyau' wetu

Tulimpata akiwa mdogo sana bila mama. Sasa hivi ni mlinzi wa nyumba! Anakamata panya,mijusi, mende na wadudu wengine watambaao. Kama angekamata mbu ingekuwa excellent! Bye bye malaria

No comments: