Monday, October 21, 2013

Familia ya Madenge - Matukio siku ya kupanda msalaba

Tarehe 12/10/2013. Familia ya Mzee Madenge wa Sinza ilihitimisha msiba wa Mama yao mzazi kwa Ibada ya Misa takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Sinza baadaye kusimika msalaba huko Sinza Makaburini. Haya ni baadhi tu ya matukio muhimu ya siku hiyo.




Masista wa Parokia ya Sinza walihudhuria ibada ya  asubuhi
Dada Julieth Madenge na ndugu wengine wakiwa kanisani
Bus maalum liliwaleta wanandugu kanisani
Bw. Henry Elias Henrish Kobelo akielekeza jambo
shughuli ziliendelea makaburini
Dada Julietha Madenge akilia mbele ya kaburi la Baba yake Mzee Elias Henrish Madenge

No comments: