Monday, October 21, 2013

Himili Mbawala - Pongezi kwa kupata CPA

Tarehe 5/10/2013. Bw. Himili Mbawala alitunukiwa shahada ya Juu ya Uhasibu inayojulikana kama CPA. Mahafali hayo yaliyoandaliwa na Bodi ya Wahasibu (NBAA) yalifanyika Jijini Dar Katika Ukumbi wa Mlimani City.

No comments: