Wednesday, October 2, 2013

Eastern Africa Agricultural Productivity Project (EAAPP)-Regional Rice Review and Planning Meeting at Peacock Hotel-Dar Es Salaam

Banzi wa Moro akiwa katika mkutano anaopanga uzalishaji na tija katika zao la mpunga Mashariki mwa Afrika. Mkutano unafanyika katika Hotel ya Peacock, jijini Dar Es Salaam, Tanzania. Washiriki wanatoka Tanzania, Kenya, Uganda na Ethiopia.

No comments: