Monday, September 30, 2013

Vipimo ni vya aina nyingi u sahihi je?

Kila aina ya kipimo kina matumizi yake. Lakini  nina mashaka kama wadau wanafahamu jinsi vinavyotumika.Anayefahamu ni mpimaji. Kwa mfano hata mimi wakati mwingine huwa nachanganywa na hicho kipimo chenye rangi nyekundu. Uzito (jiwe) scale (ruler) vyote hutumika kwa pamoja. Kwa kweli hapa ni rahisi kuibiwa hasa kwa wakulima wetu. Ni vyema wadau wakaelimishwa.

No comments: