Tuesday, September 3, 2013

Samani inayotengenezwa na JKT

Viti na meza ya chakula imetengenezwa na mafundi kutoka Jeshi la Kujenga Taifa kitengo kilichopo Chang'ombe jijini DAR ES SALAAM. Kwanini tunahangaika na vya Mchina? Vilikuwepo kwenye maonyesho ya kilimo huko Dodoma 2013.

No comments: