Tuesday, September 3, 2013

Ndege aliyopata nayo ajali Protase Ishengoma

Hivi karibuni wana TOSA walipata taarifa ya misa ya shukrani iliyoandaliwa na Bw. Protase Ishengoma (MWANATOSA) kwa nia ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa kunusurika kifo baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata ajali na kuanguka katika ziwa Manyara. Pichani ni ndege waliyopata nayo ajali.MUNGU NI MKUBWA (Picha na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Manyara(Domician Lucian) - Mwana TOSA).

No comments: