Monday, September 30, 2013

Wanakwaya wa Mt.Veronica kigango cha Kariakoo

Hii ndiyo kwaya ya Mt.Veronica kigango cha Kariakoo, Jimbo kuu la Dar Es Salaam waliokuja kuwapa shavu  marafiki zao wa Kwaya ya Mt.Vinsenti wa Paulo wakizindua Album yao ya Video "Inanibidi Nikeshe" iliyozinduliwa  tarehe 29/09/2013

No comments: