Tuesday, September 17, 2013

Nampongeza mwanangu Sisty Banzi


Baada ya miaka minne ya masomo ya Elimu ya Sekondari. Nampongeza mwanangu kwa kumaliza elimu yake ya Sekondari.Sasa anasubiri kufanya mtihani mwezi Novemba 2013.

1 comment:

sophia said...

Hongera Sisty, ni mwanzo tu wa safari ya Elimu, nakutakia kila la kheri katika mitihani yako. Ufanye vizuri ili uweze kufika hatua nyingine zinazofuata ikiwemo kidato cha sita na chuo kikuu ambayo kwa sasa ndio sawa na form four ya zamani labda na yenyewe ilikuwa bora zaidi ya mhitimu wa chuo kikuu cha sasa! Kazana mwanagu Mungu yu pamoja nawe nasi wazazi tunakuombea.