Tuesday, September 3, 2013

Mayai ya kuku wa asili kutoka Singida

Wengi tunaamini kuwa mayai ya kuku wa asili ni bora kuliko kuku wa kisasa.Mayai ya kuku wa asili kutoka Singida yalipata soko kubwa kwenye maonyesho ya kitaifa ya wakulima yaliyofanyika mwaka 2013 katika viwanja vya Nzuguni.
Mayai ya kuku wa asili kutoka Singida

No comments: