Tuesday, September 3, 2013

Haki ya Mlaji

Nimeipenda hii kwenye banda la Wizara ya Biashara na Viwanda   ingawa imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza.Walaji mnafahamu hilo? Moja ya haki ya mlaji ni uchaguzi lakini pia mlaji unatakiwa kuwa makini katika manunuzi yako!

No comments: