Tuesday, September 3, 2013

Parokia ya Vikindu (St.Vincent de Paul) imetoka mbali

Waumini wakisali ndani ya kanisa mpya
Kanisa la Vikindu (St.Vicent de Paul) zamani
Kanisa la Vikindu (St.Vincent de Paul)linavyoonekana kwa sasa
Parokia ya Vikindu imetoka mbali kutoka kanisa ndani ya banda la makuti na udongo hadi jengo zuri la Kanisa la kisasa. Moja ya majengo bora ya Kanisa katika Jimbo Kuu la Dar Es Salaam.(Picha zote kwa hisani ya blog ya Jose Patrick Mutahangarwa wa Jesus Town-Vikindu)

No comments: