Monday, September 30, 2013

T-shirts kutoka Tanzania

T-shirt kutoka Tanzania, ni nzuri na ujumbe unaeleweka.Hivi ni kwanini Watanzania hatupendi chetu. Penda chako hata kama ni kibaya.

2 comments:

Unknown said...

unajua watanzania wengi tume athirika na mali za kigeni hivyo tunaona kwamba vitu tunavyo zalisha wenyewe ni feki pia huwa tunapenda kuuiga tamaduni za wenzetu sana ndio maana hatupendi vya kwetu ila kama tungekuwa tunapenda vya kwetu tungeliweza kuitangaza inchi yetu kwa utamaduni wetu na sisi kufanya watu kuvutiwa na vitu kutoka kwetu me naona bado hatujajikubali wenyewe wala hatujiamini hivyo tujikubali na kujiamini ndipo tutakapo ona kuwa vyetu nivya thamani sana.

Innocent John Banzi said...

Coheleth. Nashukuru kwa comment na kuliona hilo. Watanzania hatujiamini mbele ya wageni.Asante