Tuesday, September 3, 2013

Uvumbuzi - Jokofu la mkaa

Kitu ambacho nimekiona kwa mara ya kwanza kwenye maonyesho ya kilimo yaliyofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni Dodoma ni jokofu la mkaa lililokuwepo kwenye banda la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).Niliingia ndani ya kibanda hicho na kukuta mboga zimehifadhiwa na ndani ya kibanda kuna ubaridi wa kutosha.Kweli ni uvumbuzi wenye manufaa. Jokofu la aina hii linaweza kutumika vijijini.

No comments: