Monday, September 30, 2013

Mkaa kutoka maganda ya Karanga

Je tunazo karanga za kutosha za kukidhi mahitaji ya mkaa kutoka maganda ya karanga? Watafiti nipeni jibu. Pichani  mkaa wa karanga ukiwa juu ya meza kwenye maonyesho ya wakulima kitaifa yaliyofanyika Dodoma viwanja vya Nzuguni 2013.

No comments: