Friday, September 20, 2013

Reaction from Dr. Zacharia Malley

Watafiti wanapokutana kila mtu anajinafasi kutokana na elimu yake, uwezo, ujuzi, maarifa na uzoefu. Mambo yote kwa uwazi kabisa. Hii ndiyo knowledge sharing. Pichani Mkurugenzi wa Utafiti Kilimo, Kanda ya Kati Dr. Zacharia Malley akielezea jambo kwenye kikao kazi cha kutathmini taarifa za 'monitoring na evaluation' kutoka kwenye kanda saba za utafiti nchini kwa mwaka 2013. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Edema mjini Morogoro.
DR.Zacharia Malley - Mkurugenzi wa Kanda Utafiti Kilimo-Nyanda za  Juu Kusini, ARI- Uyole

No comments: