Friday, September 20, 2013

Mambo ya Edema-Moro

Hizi ni moja ya huduma unazoweza kupata kutoka kumbiza mikutano Edema-Morogoro mkabala na Muslim University, Msamvu. Pichani wadau wakipata supu ya asubuhi baada ya morning session. Edema balaa.

1 comment:

Unknown said...

Tutashuhudia with all God's blessings