Tuesday, September 3, 2013

Dr.Geofrey Kajiru - Agricultural Researcher from Ukiriguru

Dr.Geofrey Kajiru kutoka kituo cha Utafiti wa Kilimo Ukiriguru ni mtaalamu wa sayansi ya udongo. Amefanya kazi nyingi za utafiti hasa kwenye zao la Mpunga ikiwemo matumizi muafaka wa maji ya kwenye zao la mpunga.
Dr.Geofrey Kajiru mtafiti wa Kilimo kutoka kituo cha Utafiti wa Kilimo Ukiriguru,Mwanza

No comments: