Tuesday, September 3, 2013

Kitanda 'Six BY six'

Ukiweza kumudu kununua kitanda kikubwa kama hiki Sita kwa sita basi wewe ni mmoja wa wajanja.Ni kitanda kinachotengezwa na vijana wa JKT kitengo cha Chang'ombe. Mbao imara na godoro safi!

1 comment:

Unknown said...

Weka bei watu waone, unaongea ujinga ujinga hapo, pumbavu.